John Gurdon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Gurdon

John Gurdon (amezaliwa 2 Oktoba, 1933) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza seli na ubadilishaji wake. Mwaka wa 2012, pamoja na Shinya Yamanaka, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Gurdon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.