William Ramsay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Ramsay

William Ramsay (2 Oktoba 185223 Julai 1916) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alivumbua na kuchunguza elementi za gesi, yaani neoni, agoni, kriptoni na xenoni. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Ramsay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.