Saturi
Mandhari
Saturi (kwa Kihispania: Saturio; Soria, Hispania, 493 hivi - Soria, 568) alikuwa mkaapweke.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[1]. Heshima hiyo ilithibitishwa rasmi na Papa Benedikto XIV tarehe 31 Agosti 1753.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Oktoba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Amadó, Ramón Ruiz. "Diocese of Osma." The Catholic Encyclopedia Vol. 11. New York: Robert Appleton Company, 1911. 3 August 2018
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |