Kosma mfiadini
Mandhari
Kosma mfiadini (aliuawa kati ya 287 na 303) alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo. Pia alikuwa kaka wa Damian Mtakatifu. Pamoja naye walikuwa wanatibu watu bure.
Inasemekana walitokea Uarabuni[1].
Hali ya maisha na kifodini chake haijulikani kwa uhakika.
Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba[2].
Takriban mwaka 530, Papa Felix IV aliwatolea Watakatifu Kosma na Damiano basilika maarufu katika mji wa Roma.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Acta sanctorum, 27 Sept, p 432 para 187
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Catholic Encyclopedia:Sts. Cosmas and Damia
- Leslie G. Matthews, "SS. Cosmas and Damian—Patron Saints of Medicine and Pharmacy: Their Cult in England" in Medical History Ilihifadhiwa 12 Aprili 2006 kwenye Wayback Machine.: notes on the few English churches dedicated to these saints
- Wonderworkers and Unmercenaries Cosmas and Damian of Asia Minor (1 Novemba) Eastern Orthodox icon and synaxarion
- Holy Wonderworking Unmercenary Physicians Cosmas and Damian at Rome (1 Julai)
- Martyrs and Unmercenaries Cosmas Damian in Cilicia (17 Oktoba)
- Synaxis of the Holy Unmercenaries Icon
- Representations of Saints Cosmas and Damian Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- Saints Cosmas and Damian page Ilihifadhiwa 16 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine. at Christian Iconography
- "Here Follow the Lives of Saints Cosmo and Damian" Ilihifadhiwa 19 Januari 2014 kwenye Wayback Machine. from the Caxton translation
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |