Papa Vigilio
Jump to navigation
Jump to search

Papa Vigilio katika mchoro wa mwaka 1678.
Papa Vigilio alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Machi 537 hadi kifo chake tarehe 7 Juni 555.
Alimfuata Papa Silverio akafuatwa na Papa Pelagio I.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Vigilio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |