Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Papa Pelagio I

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarehe ya kifo

[hariri chanzo]

Nafuata Kamusi Elezo ya Kikatoliki inayotaja 3 Machi kama tarehe yake ya kifo. Wikipedia ya Kiingereza inataja 4 Machi ambayo ilikuwa tarehe ya mazishi yake. --Oliver Stegen 15:54, 21 Julai 2007 (UTC)[jibu]