Egesipo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Egesipo (110 hivi – Yerusalemu, Israeli/Palestina, 180) alikuwa Myahudi aliyeongokea Ukristo akawa mwandishi wa vitabu juu ya historia ya Kanisa na dhidi ya wazushi. Sehemu chache tu zimetufikia[1][2].

Mwenyeji wa Mashariki ya Kati, aliishi miaka ishirini huko Roma[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Eusebius, Church History, ii.23; iii.20; iii.32; iv.8; iv.22;
  2. James Trimm, Hegesippus the Nazarene: Fragments from His Five Books of Memoirs, retrieved 7 April 2020
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93362
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.