Papa Anastasio I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Anastasio I.

Papa Anastasio I alikuwa papa kuanzia 27 Novemba, 399 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 401. Alimfuata Papa Siricius akafuatwa na mwanae Papa Inosenti I aliyemzaa kabla hajapadrishwa.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.