Hungeri
Mandhari
Hungeri, O.S.B. (Frisia, leo nchini Uholanzi, 800 hivi – Prüm, Ujerumani, 866) alikuwa askofu wa Utrecht, leo nchini Uholanzi, tangu mwaka 854 [1] hadi alipofariki dunia [2].
Kabla ya hapo alikuwa mmonaki Mbenedikto[3].
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu kale kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 22 Desemba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |