Nenda kwa yaliyomo

Iskirioni wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iskirioni wa Aleksandria (alifia dini Misri, 250 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Decius kwa kuchomwa utumbo kwa fimbo yenye ncha kali kwa sababu alikataa kutoa sadaka kwa miungu ingawa alionywa na kutenda vibaya [1].

Habari zake ziliandikwa na Dionisi wa Aleksandria kwa Fabio wa Antiokia na kuripotiwa na Eusebi wa Kaisarea.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.