Fimbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fimbo

Fimbo ni kijiti kirefu ambacho hutumika kwa namna nyingi ili kufikia mbali kuliko mkono wa mtu. Kwa mfano fimbo hutumika kuua nyoka au kutoa adhabu kwa kuchapa mtoto kutokana na kosa fulani.

Katika michezo mbalimbali, kama kriketi, baseball, mchezo wa pool na mingineyo.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fimbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.