Nenda kwa yaliyomo

Wafiadini wa Raithu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Raithu (walifariki karne ya 5) ni wamonaki Wakristo 43 wa Misri waliouawa huko, karibu na mlima Sinai, kadiri ya simulizi la Amoni fulani [1][2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Desemba[3][4].

Pengine wanachanganywa na wamonaki 38 waliouawa na Wablemi juu ya mlima huohuo mapema zaidi (karne ya 4) na walioandikiwa na Nilo wa Sinai, wakiwemo Isaya, Jesaja, Saba, Musa, Musa mwingine, Yeremia, Paulo, Adamu, Serjio, Domnus, Proklo, Ipasi, Isaka, Makari, Marko, Benyamini, Eusebi, Elia na Theodulo[5][6]. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Januari[7].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.