Ludovic Minde
Mandhari
Ludovic Minde (amezaliwa Kibosho, 9 Desemba 1952) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2001.
Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Kahama akimfuata mtangulizi wake askofu Matthew Shija.
Tarehe 2 Desemba 2019 alihamishiwa Jimbo la Moshi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |