Jimbo Katoliki la Kahama
Mandhari
Jimbo Katoliki la Kahama (kwa Kilatini Dioecesis Kahamaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 36 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tabora.
Askofu wake ni Christopher Ndizeye Nkoronko tangu tarehe 23 Juni 2022.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wa Kahama
- Christopher Ndizeye Nkoronko (2022 - hadi sasa)
- Ludovic Minde, ALCP/OSS (2001 - 2019)
- Matthew Shija (1983 – 2001)
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 19,946, ambapo kati ya wakazi 1,277,000 (2006) Wakatoliki ni 298,421 (23.4%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kahama kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |