Nenda kwa yaliyomo

Ivo wa Chartres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ivo kadiri ya André Thevet (1584).

Ivo wa Chartres, C.R.S.A. (kwa Kifaransa: Ives, Yves, Yvo; Auteuil, 1040 hivi - Chartres, Neustria, leo nchini Ufaransa, 23 Desemba 1115) alikuwa kanoni msomi, halafu askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1090 hadi kifo chake.

Alifufua utawa wa Wakanoni kwa kuwafanya wafuate kanuni ya Augustino wa Hippo[1], akatenda na kuandika sana ili kustawisha amani katika ya kleri na mamlaka ya serikali kwa faida ya Kanisa. [2]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Du Tems, Hughes, Abbé (1774). Le Clergé de France, ou tableau historique et chronologique des archevêques, évêques, abbés, abbesses & chefs des chapitres principaux du Royaume, depuis la fondation des églises jusqu'à nos jours. Juz. la 1. Paris: Chez Delalain. uk. xxxvii.{{cite book}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91794
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Barker, Lynn K. "MS Bodl. Canon. Pat. Lat. 131 and a Lost Lactantius of John of Salisbury: Evidence in Search of a French Critic of Thomas Becket." Albion: A Quarterly Journal Concerned with British Studies, Vol. 22, No. 1 (Spring, 1990), pp. 26
  • Brasington, Bruce C. (2006). "Lessons of Love: Bishop Ivo of Chartres as Teacher". Katika Vaughn, Sally N.; Rubenstein, Jay (whr.). Teaching and Learning in Northern Europe, 1000–1200. Brepolis Publishers n.v. ku. 129–147.
  • Fournier, Paul (1898). Yves de Chartres et le droit canonique (kwa French). Paris: Bureaux de la Revue.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  • Izbicki, Thomas M. "Review of Prefaces to Canon Law Books in Latin Christianity: Selected Translations, 500–1247. by Robert Somerville ; Bruce Brasington." The Sixteenth Century Journal, Vol. 30, No. 1 (Spring, 1999), pp. 314.
  • Livingstone, Amy. "Kith and Kin: Kinship and Family Structure of the Nobility of Eleventh- and Twelfth Century Blois-Chartres." French Historical Studies, Vol. 20, No. 3 (Summer, 1997), pp. 435, 452.
  • LoPrete, Kimberly A. (2007). Adela of Blois, Countess and Lord. Dublin: Four Courts Press. ISBN 978-1-85182-563-9..
  • Ott, John S. (1 Desemba 2015). Bishops, Authority and Community in Northwestern Europe, c.1050–1150 (kwa Kiingereza). Cambridge University Press. ISBN 978-1-316-36824-4. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2024.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Rolker, Christof. "The earliest work of Ivo of Chartres: The case of Ivo's Eucharist florilegium and the canon law collections attributed to him." Zeitschrift der Savigny-Stiftung für Rechtsgeschichte, kanonistische Abteilung 124 (2007), pp. 109–127.
  • Rolker, Christof (2010). Canon law and the letters of Ivo of Chartres. (Cambridge Studies in Medieval Life and Thought, Fourth Series 76). Cambridge University Press. doi:10.1017/CBO9780511674709. ISBN 9781139485067.
  • Rolker, Christof (2019). "Ivo of Chartres (Yves de Chartres) (c. 1040–1115)". Katika Descamps, Olivier; Domingo, Rafael (whr.). Great Christian Jurists in French History. Cambridge University Press. ku. 19–34. doi:10.1017/9781108669979.002.
  • Sprandel, Rolf (1962). Ivo von Chartres und seine Stellung in der Kirchengeschichte. Stuttgart: Hiersemann.
  • Wormald, Patrick. The Making of the English Law: King Alfred to the Twelfth Century. [city unknown]: Blackwell Publishing, 1999. pp. 471.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.