Kleri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kleri watatu: askofu mkuu Carey wa Kanisa Anglikana, Rabbi Sacks wa Umoja wa Masinagogi ya Jumuiya ya Madola, mufti mkuu Ceric wa Bosnia, J. Wallis mhariri wa gazeti la kiinjili "Sojournes", Marekani
Daraja takatifu tatu za Kanisa la Kiorthodoksi zinavyojitokeza katika liturujia ya Kimungu: askofu (kulia, kwenye altare, nyuma ya ukuta wa picha), padri (kushoto), na mashemasi wawili (waliovaa rangi ya dhahabu).

Kleri ni kundi la watu wanaoongoza dini fulani. Jina linatokana na neno la Kigiriki "κλῆρος" - klēros, "bahati", "sudi" au also "urithi".

Katika madhehebu mengi ya Ukristo kleri ina daraja tatu: kuanzia juu ni uaskofu, upadri na ushemasi.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kleri kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.