Nenda kwa yaliyomo

Malaika Mikaeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mikaeli Malaika Mkuu)
Mchoro wa Kiorthodoksi wa karne ya 13 uliopo katika monasteri ya Mtakatifu Katerina kwenye Mlima Sinai.
Mchoro wa Guido Reni ukionyesha ushindi wa malaika mkuu Mikaeli dhidi ya Shetani, 1636.

Malaika Mikaeli (kwa Kiebrania מִיכָאֵל, Micha'el au Mîkhā'ēl, maana yake Nani kama Mungu; kwa Kigiriki Μιχαήλ, Mikhaḗl; kwa Kiarabu ميخائيل, Mīkhā'īl) anaheshimiwa kama malaika mkuu katika imani ya dini za Uyahudi, Ukristo[1] na Uislamu.

Katika Ukristo

[hariri | hariri chanzo]

Katika Biblia ya Kiebrania anatajwa mara tatu katika Kitabu cha Danieli (10:13.21; 12:1).

Katika Agano Jipya la Biblia ya Kikristo anatajwa katika Waraka wa Yuda (9-10) na katika Kitabu cha Ufunuo (12:7-12).

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba[2][3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/21600
  2. Martyrologium Romanum
  3. Sikukuu ya Kianglikana huitwa “Michael na Malaika Wote” (kwa Kiingereza Michael and All Angels): Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 74

Marejeo ya Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 338-339
  • Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 291-296

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.