Stefan Hell
Mandhari
Stefan Walter Hell (amezaliwa 23 Desemba, 1962 mjini Arad nchini Romania) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa amechunguza mambo ya hadubini. Mwaka wa 2014, pamoja na Eric Betzig na William Moerner, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stefan Hell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |