Nenda kwa yaliyomo

Yohane Stone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane Stone (aliuawa Canterbury, Uingereza, 1539) alikuwa padri wa shirika la Waaugustino aliyepinga uamuzi wa mfalme Henri VIII wa kutenga wananchi wake na Kanisa Katoliki kwa kunyongwa na kuchanwachanwa chini ya sheria[1].

Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39.

Sikukuu yake ni tarehe 23 Desemba[2] lakini pia 12 Mei na 25 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Behold I close my apostolate in my blood, in my death I shall find life, for I die for a holy cause, the defence of the Church of God, infallible and immaculate", Stone said as the executioners prepared to do their work.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.