Teodulo, Saturnini na wenzao
Mandhari
Teodulo, Saturnini na wenzao Eupolo, Gelasi, Eunisiani, Zotiko, Ponsyo, Agatopo, Basilide na Evaristi (walifariki Gortina, Krete, leo nchini Ugiriki, 251 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliteswa wakauawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao ya Kikristo katika dhuluma ya kaisari Decius kwa sababu walikataa hadharani kutii amri ya kutoa sadaka siku ya kutabaruku hekalu la mungu jike Bahati [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tarehe 23 Desemba ndiyo sikukuu yao[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |