Nenda kwa yaliyomo

Torlaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa kuu la Kikatoliki la Reykjavík.

Torlaki (pia: Thorlak kutoka Kiiceland: Þorlákur; Fljótshlíð,, Iceland, 1133Skálholt, iceland, 23 Desemba 1193) alikuwa kanoni katika monasteri aliyoianzisha, halafu askofu wa Skálholt kuanzia mwaka 1178 hadi kifo chake, aliyejitahidi kuinua uadilifu wa waklero na waumini kwa jumla [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Yohane Paulo II alithibitisha heshima hiyo tarehe 14 Januari 1984.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Fahn, Susanne Miriam; Gottskálk Jensson (2010). "The Forgotten Poem: A Latin Panegyric for Saint Þorlákr in AM 382 4to". Gripla (21). Árni Magnússon Institute for Icelandic Studies: 19–60.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.