Angela Fuste

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Angela Fuste.jpg
Angela Fuste.

Angela Fuste (Ángela Fuste, amezaliwa tar. 23 Desemba 1970, Venezuela) ni mwigizaji wa filamu na tamthiliya kutoka nchini Venezuela.
Anafahamika zaidi kwa kucheza tamthilia ya "Binti wa Mtunza bustani" (kwa Kihispania "La Hija del Jardinero") alitumia jina la Amelia Alcantara mtoto wa mzee Fernando Alcantara.
Fuste pia ameonekana katika tamthilia kama vile ya "Como en el Cine" na "Machos", zote alicheza akiwa nchini Mexico.

Muhtasari wa Tamthilia Alizoigiz a[hariri | hariri chanzo]

  1. Machos - 2005, Mexico
  2. La Hija del Jardinero - 2003, Mexico
  3. Como en el Cine - 2001, Mexico
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angela Fuste kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.