Niels Jerne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Niels Jerne

Niels Kaj Jerne (23 Desemba 19117 Oktoba 1994) alikuwa daktari kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza kinga za mwili dhidi ya virusi mbalimbali. Mwaka wa 1984, pamoja na Georges Köhler na César Milstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niels Jerne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.