Mihai Cătălin Frăţilă

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mihai Cătălin Frăţilă (amezaliwa 10 Desemba 1970) ni askofu Mkatoliki nchini Romania.

Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Lucian Muresan mwaka 2007.

Tangu mwaka huo, alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Fagaras - Alba Julia, hadi mwaka 2014 alipofanywa askofu wa kwanza wa jimbo la Mt. Bazili Mkuu huko Bukarest.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mihai Cătălin Frăţilă kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.