Eulalia wa Merida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt Eulalia alivyochorwa na John William Waterhouse, 1885, Tate collection.

Eulalia wa Merida (Merida, Hispania, 292 - Merida, 304) alikuwa bikira anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini pia[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Desemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Blackburn and Holford-Strevens: Oxford Book of Days, entry for 10 December

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.