Marek Grechuta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marek Grechuta

Marek Michał Grechuta (10 Desemba 1945 - 9 Oktoba 2006) alikuwa mwimbaji, mtunzi, mshairi na mchoraji kutoka nchi ya Poland.

Alianza kupata umaarufu mwaka 1967. Aliandika nyimbo nyingi maalumu, kama vile: "Niepewność", "Korowód", au "Będziesz moją panią".

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marek Grechuta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.