Hennie Aucamp
Mandhari
Hennie Aucamp | |
Amezaliwa | 20 Januari 1934 Eastern Cape, Afrika Kusini |
---|---|
Amekufa | 20 Machi 2014 Cape Town |
Nchi | Afrika Kusini |
Kazi yake | Mwandishi |
Hennie Aucamp (20 Januari 1934 - 20 Machi 2014) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini.
Aliandika mashairi, hadithi fupi na insha mbalimbali.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hennie Aucamp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |