Visiwa vya Solomon
Jump to navigation
Jump to search
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: To Lead is to Serve (Kuongoza ni kuhudumia) | |||||
Wimbo wa taifa: God Save Our Solomon Islands Mungu abariki Visiwa vyetu vya Solomon | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Honiara | ||||
Mji mkubwa nchini | Honiara | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza Nathaniel Waena Manasseh Sogavare | ||||
uhuru tarehe |
7 Julai 1978 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
28,896 km² (ya 142) 3.2% | ||||
Idadi ya watu - Julai 2009 kadirio - Msongamano wa watu |
523,000 (ya 170) 18.1/km² (ya 189) | ||||
Fedha | Dollar ya Solomoni (SBD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .sb | ||||
Kodi ya simu | +677
- |
Visiwa vya Solomon ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki mashariki kwa Papua Guinea Mpya.
Eneo lake ni visiwa 1000 hivi, vyenye jumla ya km² 28,400 na wakazi wenye idadi ya watu 552,438, wengi wakiwa Wamelanesia, wakiongea lugha 90.
Kati yao 92% ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Anglikana.
Mji mkuu ni Honiara kwenye kisiwa cha Guadalcanal.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Visiwa vimekaliwa tangu miaka maelfu na Wamelanesia.
Kuanzia karne ya 19 vilikuwa koloni la Ujerumani na la Uingereza.
Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mapigano makali kati ya Japani na Marekani yalitokea hapo.
Visiwa vilipata uhuru mwaka 1978.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | Nyuzilandi | Niue | Pitcairn | Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua Guinea Mpya | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Solomon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |