Niue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Niue


Niue ni nchi ya kisiwani katika Pasifiki ya kusini.

Ni nchi ya kujitawala inayoshiriki na New Zealand inayoratibu siasa ya nje na mambo ya kijeshi.

Karibu wenyeji wote wanaishi huko New Zealand.

Niue iko km 2,400 kaskazini-magharibi kwa New Zealand kati ya Tonga, Samoa na Visiwa vya Cook.

Inahesabiwa kati ya visiwa vya Polinesia ikiitwa "Mwamba wa Polinesia".

Wakazi ni Wakristo, hasa Wakalvini (67%), halafu Wakatoliki (10%). Pia kuna Wamormoni (10%).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.