Alofi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Alofi.jpg

Alofi ni mji mkuu wa nchi ya kisiwani cha Niue katika Pasifiki. Alofi ina wakazi 614 Einwohner (2001). Kuna vijiji viwili vya Alofi North (wakazi 256) na Alofi South penye majengo ya serikali (wakazi 358).

Alofi iko kwenye pwani la magharibi ya kisiwa kando la hori la Alofi.