Honiara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Honiara

Honiara ni mji mkuu wa nchi ya Visiwa vya Solomon katika Melanesia mwenye wakazi 49,107 (1999).

Mji uko kwenye kisiwa cha Guadalcanal. Ulijengwa baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia mahali pa kituo cha kijeshi cha Marekani ukachukua nafasi ya mji mkuu wa awali wa Tulagi. Honiara imekuwa mji mkuu tangu 1952.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Honiara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.