Nenda kwa yaliyomo

Charles III wa Uingereza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles III, Mfalme wa Uingereza (2015)

Charles III (alizaliwa 14 Novemba 1948 kama Charles Philip Arthur George katika Buckingham Palace, London) ni mfalme wa Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini tangu tarehe 8 Septemba 2022. Alipokea cheo hicho kutokana na kifo cha mama yake Malkia Elizabeth II[1].

Alirithi pia cheo cha ufalme wa nchi huru 14 zinazoitwa Commonwealth Realms:

Yeye pia ni mkuu wa Jumuiya ya Madola, bwana wa maeneo yaliyopo chini ya Taji la Uingereza na mkuu wa kidunia wa Kanisa Anglikana nchini Uingereza.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles III wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.