Orodha ya makabila ya Uganda
Hii ni orodha ya makabila ya Uganda inavyotokana na orodha ya Ethnologue ya lugha za Uganda.
- Waganda
- Wanyoro
- Wakiga
- Waatooro
- Wafumbira
- Wakonjo
- Wabamba
- Wanyankole
- Wanyarwanda
- Watwa
- Wagisu
- Wasoga
- Wanyuri
- Wakenye
- Wabgishu
- Wangwe
- Wangwere
- Wateso
- Wajopadhola
- Wakarimojong
- Wakumam
- Wajonam
- Wasebi
- Wapokot (Suk)
- Watepeth
- Waacholi
- Waalur
- Walangi
- Walugbara
- Wamadi
- Wakakwa
- Walendus
|
|