Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kaskazini, Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Kaskazini kwa rangi njano

Mkoa wa Kaskazini ni mmoja wa mikoa (kwa Kiingereza: regions) minne ya Uganda.

Wakati wa sensa ya mwaka 2014 Mkoa wa Kaskazini ulikuwa na wakazi 7,188,139.[1] Sawa na mikoa mingine Mkoa wa Kaskazini hauna mamlaka ya kiutawala.

Watu wa Uganda Kaskazini

[hariri | hariri chanzo]

Kaskazini mwa Uganda hukaliwa hasa na wasemaji wa lugha za Kiniloti kama vile Kiacholi, Kikaramojong na Kilango. Kwenye wilaya zinazopakana na mto Naili au kuenea upande wa magharibi wa Naili wako pia wasemaji wa lugha za Kisudani.

Mnamo mwaka 2019 mkoa huu ulikuwa na wilaya 32:[2]

WilayaWakazi
(Sensa 1991)
Wakazi
(Sensa 2002)
Wakazi
(Sensa 2014)
RamaniMji mkubwa
Abim47,57251,903107,9661Abim
Adjumani96,264202,290225,2512Adjumani
Agago100,659184,018227,79278Agago
Alebtong112,584163,047227,54179Alebtong
Amolatar68,47396,189147,1663Amolatar
Amudat11,33663,572105,76780Amudat
Amuru88,692135,723186,69639Amuru
Apac162,192249,656368,6265Apac
Arua368,214559,075782,0776Arua
Dokolo84,978129,385183,09316Dokolo
Gulu211,788298,527436,34517Gulu
Kaabong91,236202,757167,87922Kaabong
Kitgum104,557167,030204,04842Kitgum
Koboko62,337129,148206,49543Koboko
Kole115,259165,922239,32793Kole
Kotido57,198122,442181,05044Kotido
Lamwo71,030115,345134,37997Lamwo
Lira191,473290,601408,04347Lira
Maracha-Terego107,596145,705186,13450Ovujo
Moroto59,14977,243103,43257Moroto
Moyo79,381194,778139,01258Moyo
Nakapiripirit66,24890,922156,69062Nakapiripirit
Napak37,684112,697142,224104Napak
Nebbi185,551266,312396,79465Nebbi
Nwoya37,94741,010133,506107Nwoya
Otuke43,45762,018104,254108Otuke
Oyam177,053268,415383,64467Oyam
Pader80,938142,320178,00468Pader
Yumbe99,794251,784484,82277Yumbe
Zombo131,315169,048240,082112Zombo

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Uganda administrative level 0-1 population statistics, tovuti ya data.humdata.org, iliangaliwa Aprili 2019
  2. "Uganda: Administrative Division". citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)