Nenda kwa yaliyomo

Bukungu (Uganda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bukungu, Uganda)
Ramani ya eneo la Uganda
majira nukta (01°26'10.0"N, 32°52'07.0"E (Latitude:01°26'10.0"N; Longitude:32°52'07.0"E))

Bukungu ni mji katika Wilaya ya Buyende, Mkoa wa Mashariki wa Uganda.

Una wakazi takribani 19,033 (mwaka 2013).

Mahali ilipo

[hariri | hariri chanzo]

Bukungu ipo kaskazini mwa wilaya ya Buyende, na wa kaskazini mwa Barabara ya Kamuli-Bukungu ni takriban kilomita 77 kwa barabara kutoka kaskazini magharibi mwa Kamuli ambao ni mji mkubwa ulio karibu,ni takriban kilomita 51 kwa barabara kaskazini magharibi mwa Buyende ambapo makao makuu ya wilaya yanapatikana. Pia Bukungu inapatikana takribani kilomita 139 kaskazini magharibi mwa Jinja Uganda ambalo ndilo jiji kubwa zaidi katika Mkoa wa Mashariki wa Uganda, ikiwa na majira nukta (01°26'10.0"N, 32°52'07.0"E (Latitude:01°26'10.0"N; Longitude:32°52'07.0"E))

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]