Wobulenzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Wobulenzi katika ramani ya Uganda kama ambavyo inaonekana kwa majiranukata 00°43′12″N 32°31′48″E / 0.72000°N 32.53000°E / 0.72000; 32.53000

Wobulenzi ni mji katika Wilaya ya Luweero katika Mkoa wa Kati huko Uganda.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Wobulenzi ni takribani kilomita 47 (maili 29) kwa barabara, kaskazini mwa Kampala, mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi, kwenye barabara kuu ya Karuma.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]