Nenda kwa yaliyomo

Nsanje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bandari ya Nsanje, Malawi
Bandari ya Nsanje, Malawi

Nsanje ni mji ulioko kusini mwa Malawi.

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 26,844[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nsanje kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.