Liwonde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la soko la Liwonde, Malawi.
Eneo la soko la Liwonde, Malawi.

Liwonde ni mji ulioko kusini mwa Malawi.

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 36,421[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Liwonde kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.