Nkhata Bay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upande wa juu wa Nkatha Bay
Upande wa juu wa Nkatha Bay

Nkhata Bay ni mji ulioko kaskazini mwa Malawi.

Mwaka 2018 ulikadiriwa kuwa na wakazi 14,274[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nkhata Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.