Lualaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mto Lualaba nchini Kongo (nyekundu)

Mto Lualaba ni mto katika mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni tawimto kubwa wa Mto Kongo yaani inabeba maji mengi kuliko tawimito nyingine. mwedno wake una urefu wa kilomita 1800. Vyanzovyake viko katika mkoa wa Katanga karibu na Zambia.