Chambeshi (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Chambeshi)
Jump to navigation Jump to search
Mto Chambeshi (sehemu nyekundu)

Chambeshi (pia Chambezi) ni tawimto mkubwa wa mto Lualaba na ilhali chanzo chake ni chanzo cha mbali katika ya tawimito ya beseni ya Kongo kinatazamiwa pia kama chanzo cha mto Kongo mwenyewe.

Chanzo hiki kipo nchini Zambia karibu na Ziwa Tanganyika kwenye kimo cha mita 1,760 juu ya UB.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 11°28′S 30°21′E / 11.467°S 30.35°E / -11.467; 30.35