Chambeshi (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mto Chambeshi (sehemu nyekundu)

Chambeshi (pia Chambezi) ni tawimto kubwa wa mto Lualaba na ilhali chanzo chake ni chanzo cha mbali katika ya tawimto la beseni la Kongo kinatazamwa pia kama chanzo cha mto Kongo wenyewe.

Chanzo hiki kipo nchini Zambia karibu na Ziwa Tanganyika kwenye kimo cha mita 1,760 juu ya UB.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 11°28′S 30°21′E / 11.467°S 30.35°E / -11.467; 30.35