Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Tshopo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tshopo)


Mkoa wa Tshopo
Mahali paMkoa wa Tshopo
Mahali paMkoa wa Tshopo
Mahali pa Mkoa wa Tshopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 00°31′N 25°12′E / 0.517°N 25.200°E / 0.517; 25.200
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 7
Mji mkuu Kisangani
Serikali
 - Gouverneur Maurice Tony Ngoy
Eneo
 - Jumla 199,567 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 2,614,630

Mkoa wa Tshopo (Chopo) ni mmojawapo ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,614,630 (2005). Mji mkuu ni Kisangani. 2005

Picha za Tshopo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Wele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tshopo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.