Ziwa Kivu
Ziwa Kivu | |
---|---|
![]() | |
Picha ya ziwa kutoka angani (kwa ruhusa ya NASA). | |
Anwani ya kijiografia | 2°0′S 29°0′E / 2.000°S 29.000°ECoordinates: 2°0′S 29°0′E / 2.000°S 29.000°E |
Aina ya ziwa | Rift Valley lakes, Meromictic |
Mito ya kutoka | Ruzizi River |
beseni | 2,700 km2 (1,000 sq mi) |
Nchi za beseni | Rwanda, Democratic Republic of the Congo |
Urefu | 89 km (55 mi)[1] |
Upana | 48 km (30 mi)[1] |
Eneo la maji | 2,700 km2 (1,040 sq mi)[1] |
Kina cha wastani | 240 m (787 ft) |
Kina kikubwa | 480 m (1,575 ft) |
Mjao | 500 km3 (120 cu mi) |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | 1,460 m (4,790 ft) |
Visiwa | Idjwi |
Miji mikubwa ufukoni | Goma, Congo Bukavu, Congo Kibuye, Rwanda Cyangugu, Rwanda |


Ziwa Kivu ni moja kati ya Maziwa makubwa ya Afrika. Liko mpakani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda, katika tawi la magharibi la Bonde la Ufa.
Maji yake yanatoka kupitia mto Ruzizi unaoelekea kusini hadi ziwa Tanganyika.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.0 1.1 1.2 Kivu, lake, Congo and Rwanda, Columbia Encyclopedia, Sixth Edition. 2001-05.