Bukavu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bukavu
Cathedrale Bukavu
Cathedrale Bukavu
Bukavu is located in Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bukavu
Bukavu
Mahali pa mji wa Bukavu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 2°30′0″S 28°52′0″E / 2.5°S 28.86667°E / -2.5; 28.86667
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa Kivu ya kusini
Idadi ya wakazi
 - 245 000

Bukavu ni mji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uliopo upande wa kusini magharibi mwa pwani ya Ziwa la Kivu na mji mkuu wa jimbo la Kivu ya Kusini. Mji ina kuhusu wenyeji 245 000 na wengine 250 000 watu katika vitongoji na vijiji jirani.