Bandundu (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ziwa Maï Ndombe katika Mji wa Bandundu

Bandundu (zamani Banningville au Banningstad) ni mji wa mkoa wa Mai-Ndombe, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 143,435 (2012)[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Congo (Dem. Rep.): largest cities and towns and statistics of their population. World Gazetteer. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-02-16. Iliwekwa mnamo January 21, 2009.

Majiranukta kwenye ramani: 03°19′00″S 17°22′0″E / 3.316667°S 17.36667°E / -3.316667; 17.36667


Flag-map of the Democratic Republic of the Congo.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bandundu (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.