Kikwit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwit ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Kwilu, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 397,737 (2012).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kikwit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.