Mbandaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Mbandaka katika J.K.K.

Mbandaka ni kati ya miji mikubwa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Iko kwenye ikweta kando la mto Kongo.

Idadi ya wakazi ni mnamo 200,000. Mbandaka ni makao makuu ya mkoa wa Équateur.

Mji ulianzishwa 1883 na mpelelezi Henry Morton Stanley kwa jina la Equateurville. Jina likabadilishwa baadaye kuwa Coquilhatville na tangu 1966 ni „Mbandaka“.

Uvuwi ni sehemu muhimu ya uchumi wa mji. Samaki zauzwa hasa Kinshasa.

Flag-map of the Democratic Republic of the Congo.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbandaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.