Henry Morton Stanley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sir Henry Morton Stanley

Amezaliwa John Rowlands
28 Januari 1841
Wales, Uingereza
Amekufa 10 Mei 1904
London, Uingereza
Nchi TANZANIA

Sir Henry Morton Stanley (28 Januari 1841 - 10 Mei 1904) alikuwa mwandishi wa habari kutoka Welisi. Jina lake la kuzaliwa ni John Rowlands. Mwaka wa 1859 alihamia Marekani. Hasa anajulikana kwa safari zake kwenda Afrika, baadhi yao moja kwa ajili ya kumtafuta na kumgundua David Livingstone na nyingine kwa ajili ya kumsaidia Emin Pasha. Mwaka wa 1899 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Morton Stanley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons