Kananga
Jump to navigation
Jump to search
Country | ![]() |
---|---|
Mkoa | Lulua |
Founded | 1884 |
Eneo | |
- | 742,8 km² |
Kananga (awali Luluabourg au Luluaburg) ndio makao makuu ya mkoa wa Lulua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakazi ni 1,463,556.[1]
Mji uko kwenye mto Lulua, tawimto la mto Kasai.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Villes de RD Congo - Kananga (French). MONUC (2006-05-29). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-17. Iliwekwa mnamo 2008-09-16.
Majiranukta kwenye ramani: 05°53.82′S 22°26.93′E / 5.897°S 22.44883°E
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kananga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |